Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Jennifer Kyaka (Odama) ambaye ni mwigizaji na producer wa filamu nchini Tanzania hatimae imefahamika kwamba ndio msanii pekee wa kike mwenye filamu nyingi alizo produce mwenyewe na kupewa heshima ya pekee kwenye hii tasnia ya filamu nchini Tanzania kwa filamu zake za kuelimisha jamii. Sasa anakuja na filamu yake mpya inayooitwa "JADA" ndani ya kuwa filamu hii inaingia sokoni mwezi huu wa pili tarehe 19, 2015. Kaa mkao wa filamu hii amewashirikisha mastaa kibao kama vile Wastara na Hemed. Kumbuka kula tayari kuipokea kazi hii ya ukweli.