Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Pcha ya baba mzazi waMamertha na Henry Kente Mr. Wilbard W. Kente enzi ya uhai wake
Mamertha na Deo wakifuatilia ibada ya mazishi ya Mr. Wilbard Kente baba mzazi wa Mamertha na Henry aliyefariki siku ya Jumapili Feb 1, 2015 Tanzania na kuzikwa siku ya Jumatano Februari 4, 3015 Mbezi jijini Dar es Salaam, na kufuatiwa na ibada ya mazishi iliyofanyika siku hiyo ya Jumatano Feb 4, 2015 Bowie, Maryland nchini Marekani nyumbani kwa Mr & Mrs Mosha na kuhudhuriwa na ndugu, jamaa na marafiki.
Kushoto ni Mrs Dyness Moshi mama mdogo wa Deo aliyekuja kuhudhuria ibada hiyo ya mazishi kutoka New York wengine katika picha ni Mamertha na Deo.
Watoto wakiwa na mama mdogo.
Mchungaji Igogo akiongoza Ibada ya mazishi.
Brian akiongoza nyimbo za ibada kwa kupapasa kinanda.
Mshereheshaji wa Idaba ya mazishi dada Tuma akielekeza jambo.
Msemaji wa familia Vitalis Gunda akitoa shukurani kwa niaba ya familia na kuelezea shughuli za mazishi zilivyokwenda jijini Dar es Salaam.
Mama mdogo Mrs Dyness Moshi akitoa shukurani zake na kuwashukuru wanaDMV kwa kufika kwao kujumuika na wanafamilia.
Kwa picha zaidi bofya HAPA