Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Rais wa amelipia tiketi 40,000 ili mashabiki wa soka wahudhurie kombe la mataifa ya Afrika linalofanyika nchini mwake.
Nchi hiyo ilichukua nafasi ya Morocco iliyokuwa iwe mwenyeji na kuna wasiwasi kuwa mechi hizo zitakosa wahudhuriaji. Tiketi hizo zitagawanywa kwenye miji minNe ya Malabo, Bata, Ebebiyin na Mongomo ambako michezo itafanyika.
Jumla ya tiketi hizo ni Euro 30,000. Michuano hiyo itaanza Jumamosi hii hadi February 8.