Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

PICHA: SIMBA YATWAA UBINGWA WA KOMBE LA MAPINDUZI

$
0
0
Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


 Mshambuliaji wa timu ya Simba Ramadhani Shindano Messi, akimpita beki wa timu ya Mtibwa Sugar wakati wa mchezo wao wa Fainal ya Kombe la Mapinduzi uliofanyika usiku huu uwanja wa Amaan, Timu ya Simba imeshinda kwa penenti 4-3
 Wapenzi wa mchezo wa mpira Zanzibar wakifuatilia mchezo wa fainali ya Kombe la Mapinduzi liofanyika usiku huu uwanja wa amaan Zanzibar timu ya Simba imeshinda mchezo huo na kuwa Bingwa kwa mwaka 2015 bingwa Mapinduzi Cup.
 Mshambuliaji wa timu ya Simba Emanuel Okwi, akimpita beki wa timu ya Mtibwa wakati wa mchezo wao wa fainali ya Kombre la Mapinduzi uliofanyika uwanja wa amaan.


 Mshambuliaji wa timu ya Mtibwa akimpita beki wa timu ya Simba katika mchezo wa fainali ya Kombev la Mapinduzi uliofanyika uwanja wa amaan Zanzibar usiku huu




 Mashabiki wa timu ya Simba wakiwa na majongo wakati wa mchezo wa timu ya Mtibwa kuwa sare wakati wa kipindi cha pili kumaliziki hawaamie kama mchezo umemalizika kwa sare ya bila kufungana na kupigiana penenti Simba imeshinda 4 na kukosa moja wakati Mtibwa wameshinda 3 na kukosa mbili
Wachezaji wa Timu Simba wakishangilia Ubingwa wao wa Kombe la Mapinduzi baada ya kushinda Mchezo wa Fainali na Timu ya Mtibwa kwa kuifunga 4 -3

Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>