Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

HERI YA SIKU YA KUZALIWA MWANALIBENEKE WA DEMASHO

$
0
0
Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Mwanalibeneke wa Demasho.com Hamza Juma akiwa anawajibika , leo hii anasherekea siku yake ya kuzaliwa .


Wahenga wanasema maisha ni Safari na siku hazigandi, nakama maisha ni safari basi kila kukicha twakumbana na masaibu ya kukatisha tamaa  ya kukupa moyo wa kusonga lakini jibu pekee ni kupambana nayo tu sikurudi nyuma. Nakama siku hazigadi basi ni dhahiri shairi kuwa umri unasonga siku hadi siku na huwezi kuurudisha nyuma.

Basi katika siku hii muhimu ya kukumbuka kuzaliwa kwako, NAPENDA KUKUTAKIA KILA LILILO JEMA na kumbuka kuwa yote yatokeayo yana sababu. Mungu Akulinde, akufungulie lililojema ,
"Tupo pamoja na tutaendelea kuielimisha jamii yetu."

Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles