Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea silaha za jadi, upinde, mishale na usinga kutoka kwa Machifu wa kabila la Wakonongo katika mji wa Inyonga wilayani Mlele akiwa katika ziara ya jibo lake la uchaguzi Januari 7, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwapungia wananchi wa Halmashauri ya Nsimbo wilayani Mlele baada ya kuwasili kwenye viwanja vya Halmashauri hiyo kuhutubia mkutano wa hadhara akiwa katika ziara ya jimbo lake la uchaguzi Januari 7, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na wanawake wa Nsimbo wakati alipowasili kwenye viwanja vya Halmashauri hiyo kuhutubia mkutano wa hadhar akiwa katika ziara ya jimbi lake la uchaguzi Januari7, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).