Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Hali ya baadhi ya mitaa ya Dar hali imekuwa tete leo jioni baada ya watu wasiofahamika kufanya uporaji na baadhi ya wananchi wanasema ni Panya Road na wengine wakisema kuwa ni majambazi walikuwa wanapita kwenye maeneo ya wafanya biashara kama vile kwenye maduka au supermarket na kuiba vitu. Hii imetoke maeneo ya Magomeni, Mwananyamala, Kinondoni, Sinza mpaka Mwenge na kama ulikuwa barabarani kwenye foleni au mtaani basi wanakunyanganya kila kitu ulichokuwanacho istoshe bado wanakujeruhi kwa kutumia silaa za jadi.
Kwa Taarifa za mwanzo tulizozipata ni kuwa polisi wanajaribu kurudisha hali ya amani kwenye maeneo hayo yaliyovamiwa na watu hao. Pamoja Blog inaendelea kutufuatilia kwa habari zaidi