Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Miss World 2014, Rolene Strauss, leo amerejea kwao Johannesburg nchini Afrika Kusini baada ya Jumapili iliyopita kushinda taji hilo jijini London, Uingereza.
Mrembo huyo amepokelewa kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa O.R. Tambo jijini humo na maelfu ya mashabiki waliotaka kumuona. Chini ni baadhi ya picha za mapokezi yake.
ENDELEA KUTIZAMA PICHA ZAIDI KWA KUBOFYA HAPA CHINI