Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Mkuu wa Chuo cha elimu ya Biashara Kampasi ya Mbeya, Dionise Lwanga akitoa neno la Shukrani kwa mgeni rasmi baada ya kumaliza kuwatunuku wahitimu katika mahafali ya 49 ya Chuo hicho. |
Makamu mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara(CBE), Taaluma, utafiti na Ushauri Dk.Mbise akizungumza jambo katika Mahafali ya 49 ya Chuo hicho Kampasi ya Mbeya. |
Afisa Uhusiano wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Leonidas Tibanga ambaye alikuwa mshehereshaji katika mahafali ya 49 ya Chuo hicho Kampasi ya Mbeya akiendelea na shughuli zake. |
Wahitimu wakivaa kofia zao baada ya kutunukiwa vyeti na mgeni rasmi katika Mahafali ya 49 ya CBE |
Baadhi ya Wahitimu wakionesha nyuso za furaha baada ya kutunukiwa vyeti |
Mwanafunzi aliyefanya vizuri katika masomo yake, Eliesia Mwalwibaakipokea zawadi kutoka kwa mgeni rasmi. |
Baadhi ya Wahadhiri wakifuatilia kwa makini shughuli za mahafali |
Kikundi cha burudani cha Kihumbe kikionesha makeke yake kwa wahitimu wazazi na wageni waalikwa katika mahafali |
Picha ya Pamoja kati ya Wahadhiri na mgeni rasmi |
Picha ya pamoja kati ya Wanafunzi waliofanya vizuri na meza kuu |
Picha ya pamoja kati ya wahitimu na meza kuu. |