Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

AFYA YA PELE YAIMARIKA

$
0
0
Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Hali ya afya ya gwiji wa Soka duniani, Pele imemarika baada ya kutoka kwenye hali ya mahututi. Pele aliyekua mahututi kwa matatizo ya figo anaendelea vizuri na anauwezo wa kutembea mwenyewe kwa sasa.

"Mgonjwa anaendelea vizuri anaweza kutembea mwenyewe kwenye chumba chake alieleza Albert Einster wa klinik anayotibiwa Pele.Gwiji huyo mwenye miaka 74 ataendelea kuwa chini ya uangalizi wa Madaktari.

BBC SWAHILI



Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>