Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Rais akiwasili.
Rais Jakaya Kikwete akiwasili.
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Mkuu wa wilaya ya Ilala, Raymond Mushi akicheza ngoma wakati wa mapokezi ya Rais Jakaya Kikwete. (Picha na Francis Dande)
Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na mama Maria Nyerere mara baada ya kuwasilia leo kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimaitafa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam jana akitokea Marekani alikokuwa akipatiwa matibabu ya Tezi Dume.
Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na mama Maria Nyerere.
Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange.
Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Ernest Mangu.
Mkuu wa Jeshi la Magereza, John Minja akisalimiana na Rais Kikwete.
Rais Kikwete akitabasamu kabla ajaanza kuongea.
Rais Kikwete akizungumza mara baada ya kuwasili nchini akitokea Marekani.
Rais Kikwete akizungumza na Wanahabari kwenye ukumbi maalum wa mikutano,Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jiini Dar,mara tu baada ya kuwasili jiioni hii akitokea nchini Marekani kwa matibabu.
Rais Kikwete akizungumza na Wanahabari kwenye ukumbi maalum wa mikutano, Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jiini Dar,mara tu baada ya kuwasili jiioni hii akitokea nchini Marekani kwa matibabu.
Rais Kikwete akizungumza na Wanahabari kwenye ukumbi maalum wa mikutano,Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jiini Dar,mara tu baada ya kuwasili jiioni hii akitokea nchini Marekani kwa matibabu.
Rais Kikwete akizungumza na Wanahabari kwenye ukumbi maalum wa mikutano,Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jiini Dar,mara tu baada ya kuwasili jiioni hii akitokea nchini Marekani kwa matibabu.
Kiongozi wa dini kutoka Kanisa Katoliki akimuombea Rais Jakaya Kikwete.
Sheikh akisoma dua.
Sheikh akiomba dua kwa ajili ya afya ya Rais Jakaya Kikwete.