Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Chama cha Wananchi -CUF - kimeishauri Serikali kusitisha matumizi ya akaunti za watu wanaodaiwa kuchukua kinyemela fedha za akaunti ya Escrow, Shilingi Bilion 321 hadi hapo ukweli utakapojulikana.
Chama cha Mapinduzi kimetoa tamko juu ya sakata la fedha za akaunti ya tegeta Escrow na kusema hakitasita kuwachukulia hatua watumishi au viongozi wa Serikali,waliopewa dhamana ya kuwatumikia wananchi endapo watabainika kukiuka maadili na miiko ya uongozi wa umma.
CHANZO: ITV TANZANIA