Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

MAMIA WAJITOKEZA KATIKA IBADA YA KUMUAGA NGURI WA MUZIKI WA INJILI GEORGE GODWIN NJABILI KUZIKWA KWAO KIWIRA WILAYANI RUNGWE MKOANI MBEYA KESHO NOVEMBA 23-2014.

$
0
0
Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu. 


 Marehemu George Godwin Njabili enzi za uhai wake.
 Mjane wa marehemu (wa tatu),akiwa na watoto na ndugu na jamaa wakati wa ibada hiyo.(Imeandaliwa na mtandao wa www. habari za jamii.com)
 Geneza lenye mwili wake likiingizwa katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), kwa ajili ya ibada hiyo.
 Wachungaji wa Kanisa hilo wakiongoza ibada hiyo.
 Ndugu jamaa na marafiki wa marehemu wakiwa kwenye 
ibada hiyo.





 Hakika ni huzuni kubwa kwa kuondokea na mpendwa wetu George.
 Safari ya mwisho ya mpendwa wetu George Njabili.
 Ni huzuni kwa ujumla.
 Mjane wa George Njabili (katikati), pamoja na watoto wao.
 Ni ibada iliyowagusa wengi waliomfahamu George Njabili.


Wanakwaya wakiimba kwenye ibada hiyo. 
 Ndugu, jamaa na marafiki wakiwa kwenye ibada hiyo.
Ni nyuso za huzuni ndani ya ibada hiyo.
Ndugu na jamaa wakitoa heshima za mwisho.


Mjane wa George akisali na watoto wake mbele ya
jeneza la mume wake wakati wakiaga mwili wake

Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>