Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

PICHA: WAFUGAJI WAVAMIA ENEO LA MWEKEZAJI ,WACHOMA NYUMBA NA MAGARI

$
0
0
Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Siha ,Rashid Kitambulilo akimuongoza mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama wakati akitembelea eneo la mwekezaji la Tanganyika Film and Safari ambako wafugaji jamii ya Masai wanadaiwa kufanya uharibifu mkubwa.
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama pamoja na kamati ya ulinzi na usalama wakitizama uharibifu  uliofanywa na wafugaji jamii ya Masai.

ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI



Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama akitizama moja ya gari lililochomwa moto na watu wanaodaiwa kuwa ni wafugaji jamii ya Masai.
Askari Polisi walilazmika kuongeza ulinzi katika eneo hilo.
Mkuu wa mkoa ,Gama akiteta jambo na baadhi ya viongozi ambao ni wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama.

Vikao vikiendelea eneo la mwekezaji.


Uharibifu mkubwa umefanyika ambapo nyumba 16 na magari tisa yameteketea moto.
Mwekezaji Peter Jones akizungumza na wanahabari kuhusu tukio hilo lililomsababishia hasara kubwa.
Vikosi vya askari Polisi kutoka Mikoa ya Arusha na Kilimanjaro vililazimika kupiga kambi kwa muda katika eneo hilo ili kuwadhibiti wafugaji hao.Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii kanda ya kaskazini.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>