Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Kijana ambaye hakuweza kufahamika jina lake mapema, akiugulia maumivu baada ya kupokea kichapo kutoka kwa wananchi wenye hasira kwa kile walichomtuhumu kuiba simu katika moja ya duka lililopoa maeneo ya Makumbusho karibu na Kituo cha Daladala, jijini Dar es Salaam.
Kjana huyo akijibu maswali baada ya kichapo
Kama ilivyo kawaida kijana huyo aliungaishiwa na kila mtu aliyemuana akitimka na kufanikiwa kumtia nguvuni na kuanza kula kichapo hadi aliporejesha simu ya mdada huyo. Baadaye aliachiwa huru na kuondoka zake