Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Mama Aurelia Kobulungo Muganda enzi za uhai wake
Kaburi la Mama Aurelia linavyoonekana
Fr Mukandara akibariki maji yaliyochanganywa na chumvi ambayo yalitumika kubariki kaburi. (Imeandaliwa na www.habari za jamii.com)
Padri Mukandara akibariki kaburi
Ni wakati wa kuanza ibada takatifu ya misa ya shukrani. Wanafamilia wakielekea kwenye ukumbi maalumu.
Bwana na Bibi Fr. James Rugemalira wakiwaongoza mapadre kuelekea kwenye misa takatifu
Paroko wa Kanisa Katoliki Makongo Juu Joseph Masenge akisisitiza jambo wakati wa misa hiyo
Jopo la mapadre walioshiriki katika misa hiyo takatifu |
Wanakwaya kutoka kanisa la Makongo Juu wakitumbuiza katika misa hiyo
Wanafamilia kutoka kushoto Everine Rugemalira, Joe Mgaya na Jerome Rugemalira wakifuatilia kwa karibu ibaada ya misa hiyo
Wageni mbalimbali wakitafakari matendo makuu ya Mungu kwenye ibadaa hiyo
Waalikwa mbalimbali wakiwa kwenye ibaada hiyo
Wanafamilia wakiwa kwenye ibaada hiyo
Mmm ni upendo ulioje unapoona kusanyiko kubwa kama hili
Mdau Joyce (katikati) hakupenda kukosa ibaada hiyo takatifu
|