Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Mwenyekii wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiwahutubia maelfu ya wakazi wa kijiji cha Mang'ula wilayani Kilombero mkoani Morogoro, katika mkutano wa Oparesheni Delete CCM, uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Mwaya juzi.
ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akisindikizwa na wanachama na wapenzi wa chama hicho, baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara wa Oparesheni Delete CCM, uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Mwaya juzi.