Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Watoto hawa walikuwa wanavuka mpaka wa Uganda baada ya kukimbia Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo wakiwa hawana wazazi. Hii ilitokea wakati wa mapigano ya majeshi ya serikali na M23 kwenye eneo la kaskazini mwa Kivu. Picha hii imepigwa na James Akena, Julai 10, 2012.