Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Gari kubwa la mizigo lenye namba za usajili T 744, CSA likiwa katikati ya barabara baada ya kukatika tela lililokuwa na mzigo na kufanya magari kupita kwa shida kwenye Barabara ya Mandela Road eneo la Tabata jijini Dar es Salaam.
CHANZO: ITV TANZANIA