Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Familia inaomba michango ya hali na mali ili kumsitiri mweneztu huyu. Michango iwasilishwe kupitia namba ya Aron Sondi:0763210530 au kupitia Tigo pesa ya mke wake Sara Obel: 0713560844.
Asante sana na mbarikiwe.
Hizi ni taswira mbalimbali za tukio la ajali hiyo ambapo moto unaosadikiwa kutokea jikoni umetekeza nyumba yote na mali za familia hiyo.
Sehemu ya nyuma ya nyumba wakati moto ukiwa umetanda nyumba yote. Kama umeguswa na janga alilofikwa ndugu Sonda tumia namba hizo kutoa msaada wa chochote ulichonacho.