Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Katika hali isiyo ya kawaida mechi kati ya Serbia na Albania imeshindwa kumalizika baada ya ndege isiyokuwa na rubani kubeba ujumbe wa kisiasa kusababisha vurugu zilizowahusisha wachezaji na mashabiki ndani ya uwanja wa Partizan.Mechi hiyo ya kufuzu katika michuano ya soka bara la Ulaya mwaka 2016 ilisimamishwa na mwamuzi Martin Atkinson kutoka Uingereza katika dakika ya 41 ya mchezo huo huku matokeo yakisomeka 0-0.