Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Mganga Mfawidhi wa hospitali ya wilaya ya Mufindi Dk.Boaz Mnenegwa akizungumza na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana wakati alipotembelea wodi ya kina mama hospitalini hapo.
Sehemu ya Wodi ya akina mama katika hospitali ya wilaya ya Mufindi.
ENDELEA USOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Meneja wa Shamba la SAO Hill Ndugu Salehe Beleku akizungumza mbele ya Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana alipotembelea ofisi ya SAO Hill Mufindi
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akikusanya baadhi ya mabango kutoka kwa wananchi wa Mafinga waliotaka ujumbe wao ufike kwa Katibu Mkuu wa CCM
Katibu Mkuu wa CCM akiangalia namna mbao zinavyotayarishwa kwenye kiwanda cha mbao cha Emmanuel kinachomilikiwa na Ndugu Charles Emmanuel Akyoo