Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
MKUU wa Jeshi la Polisi mstaafu, IGP Said Mwema pamoja na ukoo wa Mwema na Nkya unasikitika kutangaza kifo cha mama/dada yao mpendwa Bi Sophia Rajab Nkya kilichotokea jana 3/10/2014 saa 2.45 usiku ktk hospitali ya KCMC Moshi. Mazishi yatafanyika leo 4/10/2014 saa 10 alasiri ktk makaburi ya Moshi Mjini. Habari ziwafikie ndugu,jamaa na marafiki waliopo ndani na nje ya nchi. Saidi Mwema.
ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI
ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI