Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

KIAKAO CHA KAZI KILICHOWAKUTANISHA VIONGOZI NGAZI YA MIKOA, WILAYA NA HALMASHAURI KIMEKAMILIKA MMOANI DODOMA

$
0
0
Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.

 Rais Jakaya Kikwete akisisitiza jambo kwa viongozi wa mikoa, wilaya na halmashauri kwenye mkutano wa kazi uliofanyika katika ukumbi wa chimwaga Dodoma kwa siku tatu, kushoto ni Waziri mkuu Mezengo Pinda na kulia ni Waziri wa Tawala za mikoa na Serikali za mitaa (TAMISEMI) Hawa Ghasia.(Picha na John Banda wa Pamoja Blog)
 Rais Jakaya Kikwete akishangaa jambo wakati alipokuwa akiongea na Wakuu wa Mikoa, Wilaya, maafisa usalama wa Mikoa na Wilaya, Wakurugenzi na Maafisa Elimu wakati wa kikao cha kazi kilichofanyika kwa siku Tatu Chimwaga Dodoma, kushoto ni Waziri Mkuu Mizengo Pinda.

ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI

 Waziri wa Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Hawa Ghasia akifurahia jambo wakati alipokuwa akitoa taarifa mbele ya Rais na viongozi wa mikoa, Wilaya na Halmashari.
  Naibu waziri Tamisemi Elimu Kasmu Majaliwa akizangumza jambo alipokuwa akitoa mada kwenye kikao hicho
 Katibu mkuu wa Tamisemi Jumanne Sagini akifafanua jambo katika kikao hicho.
Washiriki wa kikao cha kazi wakifurahia jambo walipokuwa wakimsikiliza Rais Jakaya Kikwete jana kwenye Ukumbi wa Chimwaga Dodoma walipokutana kwa ajili ya kikao cha kazi kilichohusisha Wakuu wa Mikoa, Wilaya na Wakurugenzi wa halmashauri.
 Wajumbe wa Kikao cha kazi kilichofanyika mjini Dodoma wakimsikiliza Rais Jakaya Kikwete hayupo pichani wakati wa kikao cha Kazi kilichoanza juzi na kutarajiwa kumalizika jana ijumaa,  kikao hicho ni cha usimamizi wa uendeshaji wa Elimu ya msingi kilichojumuisha viongozi wa Mikoa, Wilaya na Halmashauri.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>