Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

SIKILIZA AUDIO YA MAHOJIANO YA SWAHILIVILLA NA MWANAMAMA 'POWER BLACK NYATI 'JIKE JEURI',

$
0
0
Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.

Baada ya kuwatoa 'knock out' mabaunsa wawili, ilibidi aongezeke mwingine wawe watatu lakini bado walishindwa kupeleka kidole cha Jike Jeuri' chini wakati akifanya vitu vyake ndani ya Tamasha la Usiku wa Matumaini Agost 08,2014. Picha zote kwa hisani ya mwanawamakonda.blogspot.com
Mwanamama Power Black Nyati 'Jike Jeuri' akifanya vitu vyake ndani ya Tamasha la Usiku wa Matumaini Agost 08,2014.
Karibuni katika kusikiliza AUDIO ya Mahojiano na Mwanamama Maisara Juma Salah a.k.a Power Black Nyati 'Jike Jeuri', Kiboko wa Wanaume aeleza mengi kuhusu utumiaji wa nguvu zake, kama kuzuwia pikipiki kwa nyele, ubebaji mfuko wa saruji kwa meno, pamoja na kumbeba mwanamke kwa mkono wake mmoja ama kupasuliwa Jiwe kwenye kifua chake.Karibu kusikiliza Mahojiano yetu

Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>