Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Baada ya siku nyingi sasa imefahamika siku halisi ya kutoka kwa filamu mpya ya JB iitwayo "MIKONO SALAMA" . Filamu hii itatoka tarehe 25.09.2014 ni kali na yenye kusisimua .Sio Filamu ya kukosa kabisa kwani humo ndani JB kawashirikisha waigizaji mashuhuri na Magwiji na Mastar kutoka pande zingine. Jokate Mwegelo maarufu kama Kidoti ameshiriki ndani ya Filamu hii akiwa na Gwiji Jacob Steven (JB), pia kuna kipande ambacho amecheza Marehemu Adamu Kuambiana humu ndani, pia kuna wasanii wengine kama Irene Uwoya na Single Ntambalike. Kaa Tayari kuona Filamu nzuri na yakitanzania inayoleta msisimko wanguvu.
<