Maandamano yalianza kama yalivyopangwa wakati wa mahafari ya 36 ya Taasisi ya Usimamizi wa Fedha(IFM)
Maandamano yakiendelea
Mgeni rasmi Naibu Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum akiwasili kwenye mahafari ya 36 ya Taasisi ya Usimamizi wa Fedha(IFM) jana ijumaa
ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Maandamani yakiendelea
Godwin Mulokozi akiwa na furaha baada ya kupata degree yake ya kwanza kwenye Taasisi ya Usimamizi wa Fedha(IFM)
Godwin Mulokozi (wa kwanza kushoto) akiwa na David James(wa pili kutoka kushoto), Adam Kiunsi (wa pili kutoka kulia)
Picha ya pamoja
Godwin Mulokozi (kushoto) akiwa na David James(kulia) wakiwa kwenye picha ya pamoja
Godwin Mulokozi akiwa na rafiki yake Neema Mhina
Nifuraha tu
![]()
Enock (wa kwanza kushoto), Frank Mkomwa (katikati) na Godwin Mulokozi (kulia) wakiwa kwenye picha ya pamoja

Enock (wa kwanza kushoto), Frank Mkomwa (katikati) na Godwin Mulokozi (kulia) wakiwa kwenye picha ya pamoja
Baadhi ya wahitimu wakiwa wametokelezea kwenye camera yetu
Baadhi ya ndugu na jamaa waliofika kwenye mahafari hayo
Godwin Mulokozi akifurahia siku muhimu katika maisha yake
Godwin Mulokozi (kulia) na rafiki yake wa karibu David James (kushoto)