Ni movie ya Vichekesho inayohusu maisha ya wanandoa wanao shinda ndani ya nyumba kutokana na kutoelewana kitabia,sasa si unamjua bwana Mboto huwa haaribu pale anapopewa kipande cha kuigiza?Basi humu ndani mbavu zako lazima uzishikirie aiseee ni full vituko na kufurahi,Pia mwanadada Nisha kama kawaida yake kashiriki kwenye hii Komedi na si unamjua Nisha Bebe huwa hakoseagi kama ulivyowahi kuziona Paku na Pusi,Zena na Betina Basi Hii sio Nakala ya Kukosa Kuitazama
↧