Hii ni Filamu inayoelezea maisha ya mtoto wa polisi anaesakwa kwa ajili ya kutoa mizigo ya maadui,Yani inakuwa shida pale Baba polisi na ahangaika na wahalifu halafu mtoto anakuja kutoa Mizigo ya maadui.Ndani ya Filamu hii kuna waigizaji mahiri na makini kama Gabo Zigamba ambaye amecheza kama mhusika mkuu pia Yupo mwanadada mahiri na machachari Anayejulikana kwa jina La Aisha Bui ambaye ni mhusika mkuu na pia Ndiye Produsa wa Filamu Hii Matata.Mwezi wa Nane itakuwa sokoni Si ya kukosa Hii.
↧