Boss mpya wa Blackberry John Chen hivi karibuni alitangaza kuwa toleo jipya la Blackberry litaitwa ‘Passport’, na kuongeza kuwa itatangazwa rasmi mwezi September huko London.
‘Blackberry Passport’ ndio toleo jipya la simu za Blackberry zinazotarajiwa kutambulishwa rasmi mwezi September mwaka huu na kuingia madukani mwezi December.
Blackberry Pasaport ina kioo kikubwa pamoja na physical keyboard.