Msanii Salma Jabu “Nisha" atamani kuwa balozi wa kuzuia kutumikishwa kwa wanawake kwenye madangulo na kunyanyaswa kijinsia kwa tamaa ama kwa vyovyote vile kwa kufanya biashara ya kuuzwa kwa miili yao tena wanawake wakubwa huwanyanyasa watoto ambao wana umri wa kwenda shule umefika lakini wao wana tumikisha kufanya biashara ya ukahaba kwenye madanguro na wengine kupata matatizo makubwa.
Sasa Nisha ameamua kutengeneza filamu ya Zena na Betina kuelimisha mambo ambayo yanaendelea sasa hivi sehemu mbalimbali hapa Tanzania na nchi za nje