Muonekano wa jukwaa dogo ulivyokuwa.
MAELFU ya mashabiki jana walijitokeza kwa wingi katika uzinduzi wa radio ya EFm katika viwanja vya Mwembe-Yanga, Temeke. Picha za ni baadhi ya taswira za matukio yaliyochukua nafasi kwenye uzinduzi huo
Dogo Kinagana akikoleza hafla hiyo kwa kunywa maji chupa nzima na kuanza kuyatoa kwa kuzungusha sikio.
ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Inspector Haroun akitoa burudani kwa wana Temeke.
Baadhi ya wadau wa EFm wakiwa jukwaani.
Jassy Queens toka Kiwalani wakitumbuiza mashabiki.
Mashabiki wengine waliamua kupanda juu ya miti kupata taswira nzuri.
Mkude Simba akiwaongoza wapenda burudani kwa kunyoosha mikono juu kama ishara ya kumkumbuka marehemu Sharo.
Ommy Dimpoz akiwa katika pozi.
Shilole na wachezaji wake wakikamua.
Q-Chilla akionyesha manjonjo yake wakati wa kuimba.
Mkude Simba 'Kitale'' akikonga nyoyo za mashabiki.
PNC akiimba kibao chake cha habari ya mjini.
Umati wa watu uliojazana jana Mwembe-Yanga.