Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Mh. Zotto Kabwe akiwa katika hali ya uzuni baada ya kuondokewa na mama yake mzazi.
Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Mh. Zotto Kabwe akipewa pole na baadhi ya waombolezaji waliofika nyumbani.
ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Gari la wagonjwa lililobeba mwili wa Mama yake na Zitto Kabwe likifika nyumbani
Mwili wa marehemu ukishushwa kutoka kwenye gari
Ni simanzi
Mwili ukiwekwa vizuri kwa ajili ya maombezi
Mwili ukiombewa