Kikosi cha Liverpool kwenye mnuso wa kuzawadia wachezaji bora uliofanyika usiku huu katika hoteli ya Hilton Liverpool na kuhudhuriwa na wapenzi na wanachama kutoka kila pembe ya dunia ikiwemo Tanzania ambayo iliwakilishwa na viongozi wa The Kop In Tanzania
Sehemu ya wageni kwenye mnuso huo katika hoteli ya Hilton Liverpool
ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Katibu wa The Kop in Tanzania Issa Batenga akiwa na kocha wa Bwawa la Maini Brendan Rodgers kwenye mnuso huo usiku huu hoteli ya Hilton Liverpool
Katibu wa The Kop in Tanzania Issa Batenga katika mnuso huo