Basi la abiria la Luhuye Express lenye namba za usajili T 410 AWQ baada ya kuacha njia na kugonga nyumba katika Kijiji cha Yitwimila 'A', wilayani Busega, Mkoa wa Simiyu jana asubuhi.
AJALI hii mbaya iliyopotea uhai wa watu zaidi ya 10 na kujeruhi 30 ilitokea jana katika Kijiji cha Yitwimila 'A', Wilaya ya Busega, mkoani Simiyu majira ya saa 4 asubuhi
Wananchi wakishuhudia ajali hiyo iliyoua watu zaidi ya 10 na kujeruhi 30.
ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Basi la abiria la Luhuye Express baada ya kupinduka.
Baadhi ya majeruhi katika ajali hiyo mbaya.
CHANZO: GPL