Ndugu, jamaa na marafiki wakitoa heshima za mwisho wakati walipokuwa wakiuaga mwili wa marehemu Rose Mwagala aliyepoteza maisha kutokana na kushambuliwa na nyuki.
Watu mbalalimbali wakiweka mashada ya maua kwenye kaburi alilozikwa Rose Mwagala aliyekufa kwa kushamburiwa na nyuki Swaswa manispaa ya Dodoma.
ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Waombolezaji wakiwa na huzuni wakati wa msiba wa marehemu Rose Mwagala aliyekufa kutokana na kushambuliwa na nyuki walioweka makazi yao kwenye paa la nyumba jirani na makazi yake