Mkuu wa Mkoa Dodoma Dr. Rehema Nchimbi akitia saini kitabu cha maombolezo ya kifo cha askofu wa tano (5) wa Dayosisi ya Central Tanganyika katika huduma (1989 - 2004) Askofu Godfrey Mdimi Mhogolo kilichokea Alhamis Machi 27, 2014 huko nchini Afrika Kusini alikokuwa akitibiwa, Mazishi yanatarajiwa kufanyika Jumamosi April 5, 2014 kanisa kuu Anglican Dodoma.
Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Bw. Lephy Benjamin Gembe akitia saini kitabu cha maombolezo ya kifo cha askofu wa tano wa(5) wa Dayosisi ya Central Tanganyika katika huduma (1989-2014) Askofu Godfrey Mdimi Mhogolo kilichokea Alhamis Machi 27, 2014 huko nchini Afrika Kusini alikokuwa akitibiwa.