Mvutano Mkubwa Bado Umetawala Bunge Maalum Linaloendelea Mkoani Dodoma Hali Iliyopelekea Mwenyekiti wa Muda wa Bunge Hilo Mh Pandu Kificho Kuliahirisha Bunge Hilo Mchana Huu Mpaka saa Kumi Jioni.Mvutano Mkubwa Upo namna ya Kupitisha Kunini ya Kuongoza Kanuni hiyo Kanuni Kuhusu Maamuzi ya Bunge Maalum la Katiba Yapitishwe kwa Kura ya Siri ama ya Wazi.
Mvutano huo umetokea pale Kundi Moja waliposema Ipigwe Kura yaKuamua Bunge Hilo Kutumia Kura ya Siri ama ya WaziNdipo Majibizano yalipoanza Yakiambatana na Kuzomea kwa Baadhi ya Wajumbe walipopewa nafasi ya Kuzungumza.Bunge Hilo Limepitisha kanuni zote kwa asilimia 95 zilizobaki ni mbili tu lakini uamuzi wake unaleta Mvutano Mkubwa sana Katika Bunge hilo.
Endelea kuwa nasi Kwa Taarifa zaidi