Daktari akiwa amezamisha kidole chake kwenye jeraha la Ndugu Richard wakati alipokuwa akimsafisha kidonda baada ya tukio hilo.Kwa taarifa zisizo rasmi zinasema wamchoma kisu cha Mbavu Ndugu Richard ambaye ni M/Kiti wa Tawi la CHADEMA la Kijiji cha Tagamenda kwenye kampeini za Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Kalenga,
Ndugu Richard ambaye ni M/Kiti wa Tawi la CHADEMA la Kijiji cha Tagamenda akiwa amelazwa baada ya kushonwa.
ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Ndugu Richard ambaye ni M/Kiti wa Tawi la CHADEMA la Kijiji cha Tagamenda Akionyesha jeraha lake maeneo ya kifuani.