Hili ni Gari dogo likiwa limebeba abiria , na baadae madereva wa daladala kusimamisha na kushusha abiria hao. huku abiria wengine wakiwa hawana cha kufanya kutokana na kukosa usafiri.
Toyo Kilimo kwanza ikiwa imeacha kubeba mizigo shambani na kubeba abiria kutokana na shida ya usafiri jijini Mwanza mda huu baada ya madereva kugoma.