Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Ofisi ya taifa ya takwimu imetoa zawadi ya pesa kiasi cha milioni 3 kwa kila mmoja wa wafanyakazi wake wake waliofanya vizuri kazini kwa mwaka 2014/15 (PICHA NA JOHN BANDA)