Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Msanii wa kike Jennifer Kyaka (Odama) mwenye historia ya kupambana kwenye soko kimyakimya bila kupiga kelele huku filamu zake zikifanya vizuri Tanzania, kampuni kubwa ya usambazaji Tanzania imethibitisha hili baada ya filamu yake ya JADA kupewa oda kubwa na mashabiki na kuuliza kila siku hiyo filamu itatoka lini. Lakini Odama amelijibu swali hilo kwa kusema filamu ya JADA inatoka mwezi huu wa pili tarehe 19, 2015. Kaa tayari kuipokea kazi hii ya nguvu.