Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

PICHA: MABINGWA WA AFCON 2015 IVORY COAST WAPOKELEWA KWA SHANGWE ABIDJAN

$
0
0
Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.

Nahodha Yaya Toure akilionyesha kombe baada ya kuwasili mjini Abidjan

 Timu ya taifa ya Ivory Coast iliyotwaa kombe la mabingwa wa Afrika, AFCON 2015, imepokelewa na mamia kwa maelfu ya mashabiki waliokusanyika kwenye uwanja wa ndege na mitaa mbalimbali ya mji mkuu wa kibiashara wa nchi hiyo Abidjan kuwakaribisha nyumbani.
Rais wa Ivory Coast, Alassane Outtara akiwa na nahodha wa Ivory Coast Yaya Toure
Rais wa Ivory Coast Alassane Outtara alitangaza siku ya Jumatatu kuwa ya mapumziko kufuatia ushindi wa Ivory Coast kwenye fainali dhidi ya Ghana nchini Equatorial Guinea.

ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI


Mashabiki walivyowakaribisha washindi wa AFCON 2015
Rais wa Ivory Coast, Alassane Outtara akikabidhiwa kombe la AFCON 2015 na nahodha wa Ivory Coast Yaya Toure kufuatia ushindi wa Ivory Coast kwenye fainali dhidi ya Ghana nchini Equatorial Guinea
Wachezaji wa timu ya Ivory Coast wakipiga picha kwa kutumia simu zao kama kumbukumbu baada ya kupokelewa na umati mkubwa wa wananchi wa nchi hiyo
Rais wa Ivory Coast, Alassane Outtara akishangilia kwa furaha baada ya kukabidhiwa kombe la AFCON 2015 kufuatia ushindi wa Ivory Coast kwenye fainali dhidi ya Ghana nchini Equatorial Guinea

Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>