Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Shirikisho la soka barani Afrika CAF limeiadhibu nchi ya Guinea ya Ikweta baada ya mashabiki wake kufanya vurugu katika mchezo wa nusu fainali.
Guinea ya Ikweta inatakiwa kulipa faini ya pauni 65,000 (US$100,000) kwa vurugu zilizofanywa na Mashabiki wake na kusababisha mchezo wa nusu fainali kati yao na Ghana kusimama kwa muda.
Pia watatakiwa kuwahudumia mashabiki 36 waliopata majeruha katika vurugu hizo.
CHANZO: BBC SWAHILI