Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

RAIS WA UJERUMANI AWASILI VISIWANI ZANZIBAR, APOKELEWA NA DK.SHEIN

$
0
0
Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na mgeni wake Rais wa Ujerumani Mhe,Joachim Gauck mara alipowasili katika Bandari ya Malindi Mjini Zanzibar leo akitokea Dar es Salaam akiwa katika ziara ya siku moja Nchini akifuatana ma Mkewe Daniela Schadt pamoja na viongozi mbali mbali wa Nchi hiyo.
Rais wa Ujerumani Mhe,Joachim Gauck akisalimiana na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi (katikati) mara alipowasili katika Bandari ya Malindi Mjini Zanzibar leo akitokea Dar es Salam akiwa katika ziara ya siku moja Nchini akifuatana ma Mkewe Daniela Schadt pamoja na viongozi mbali mbali wa Nchi hiyo (kulia) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.
   Rais wa Ujerumani Mhe,Joachim Gauck akiwasili shada la mauwa na mtoto Salma Issa mara alipowasili katika Bandari ya Malindi Mjini Zanzibar leo akiwa katika ziara ya siku moja Nchini akifuatana ma Mkewe Daniela Schadt pamoja na viongozi mbali mbali wa Nchi hiyo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na Mgeni wake Rais wa Ujerumani Mhe,Joachim Gauck (kushoto) mara baada ya mapokezi alipowasili katika Bandari ya Malindi Mjini Zanzibar leo akitokea Dar es Salaam akiwa katika ziara ya siku moja Nchini (kulia) Makamo wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi
Rais wa Ujerumani Mhe,Joachim Gauck akikagua Gwaride la heshma la Jeshi la wananchi wa Tanzania JWTZ ikiwa ni mapokezi ya Rais huyo wa Ujerumani mara alipowasili katika Bandari ya Malindi Mjini Zanzibar leo akitokea Dar es Salaam akiwa katika ziara ya siku moja Nchini akifuatana ma Mkewe Daniela Schadt pamoja na viongozi mbali mbali wa Nchi hiyo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Rais wa Ujerumani Mhe,Joachim Gauck wakipokea salamu ya heshma ya Gwaride la Jeshi la wananchi wa Tanzania JWTZ ikiwa ni mapokezi ya Rais huyo wa Ujerumani mara alipowasili katika Bandari ya Malindi Mjini Zanzibar leo akitokea Dar es Salaam akiwa katika ziara ya siku moja Nchini akifuatana ma Mkewe Daniela Schadt pamoja na viongozi mbali mbali wa Nchi hiyo.[Picha na Ikulu.]

Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>