Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

CCM YAADIMISHA MIAKA 38 YA KUZALIWA KWAKE MJINI SONGEA

$
0
0
Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.

 
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimia wananchi wakati akiingia kwenye uwanja wa Maji Maji mjini Songea kwenye sherehe za kuadhimisha miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM ambapo kitaifa zimefanyika mkoa wa Ruvuma.
 Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Jakaya Mrisho Kikwete akivishwa skafu na kijana wa chipukizi mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Maji Maji mjini Songea kwenye sherehe za  maadhimisho ya miaka 38 ya kuzaliwa kwa  CCM.

ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI

 Baadhi ya viongozi wakiwasili kwenye uwanja wa Maji Maji kwenye maadhimisho ya sherehe za miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM
  Mwenyekiti wa CCM Taifa,Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikwagua gwaride la chipukizi.
 Vijana wa Chipukizi wakionyesha ukakamavu kwenye onyesho la Halaiki wakati wa maadhimisho ya sherehe za miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM.
 Hivi ndivyo uwanja wa maji maji ulivyofurika kwenye sherehe za maadhimisho ya kutimiza miaka 38 tangu kuzaliwa kwa CCM.
 Vijana wa Chipukizi wakitoa heshima kwa mgeni rasmi.
 Vijana wa chipukizi wakionyesha ukomavu wao wa mafunzo  wanayopata.

 Umati
 Kepteni John Komba akiimba pamoja na Abdul Msimbano wakati TOT ilipokuwa ikitumbuiza wananchi waliofurika kwenye uwanja wa Maji Maji na Kutambulisha nyimbo yao mpya.
 Bendi ya TOT ikishambuliwa Jukwaa wakiwa chini ya Uongozi wa Kepteni John Pemba.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimia wananchi na kumkaribisha Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete kuhutubia hadhira iliyojaza watu kutoka kila kona ya mji wa Songea na majirani zake.
 Vijana wakiangalia picha ya Hayati Abeid Aman Karume ,Rais wa Kwanza wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakati wa maadhimisho ya miaka 28 ya kuzaliwa CCM ambapo kitaifa zimefanyika kwenye uwanja wa Maji Maji mjini Songea mkoa wa Ruvuma.
 Msanii Diamond akiwaburudisha maelfu ya watu waliofurika kwenye uwanja wa Maji Maji mjini Songea kwenye sherehe za kutimiza miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM ambazo kitaifa zimeadhimishwa mkoani Ruvuma.
 Kila mtu alichikua kumbukumbu kwa kadri awezavyo.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles