Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Beki wa timu ya Simba,Hassan Isihaka (26) akiangalia namna ya kumzuia Mshambuliaji wa Timu ya JKT Ruvu,Jabir Aziz katika mtanange wa Ligi Kuu Tanzania Bara,uliomalizika hivi pinde kwenye Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.Simba imeshinda Bao 2-1.(Picha na Othman Michuzi)
Nyanda wa Timu ya Simba,Ivo Mapunda akiwania mpira wa juu na Mshambuliaji wa timu ya JKT Ruvu,Samuel Kamuntu katika mtanange wa Ligi Kuu Tanzania Bara,uliomalizika hivi pinde kwenye Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.Simba imeshinda Bao 2-1.
ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Weeee.........
Wachezaji wa Timu ya JKT Ruvu wakishangilia goli lao la kusawazisha dhidi ya Simba,katika mtanange wa Ligi Kuu Tanzania Bara,uliomalizika hivi pinde kwenye Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.Simba imeshinda Bao 2-1.
Kiungo wa JKT Ruvu akiruka daruga .
Kocha wa Timu ya Simba akiwapa mawaidha wachezaji wake.