Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

TAZAMA HAPA MECHI ZA LIGI KUU YA TANZANIA BARA ZITAKAZOCHEZWA LEO JUMAMOSI NA KESHO JUMAPILI

$
0
0
Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu. 




ENDELEA KUTIZAMA MECHI NYINGINE KWA KUBOFYA HAPA CHINI


Mechi nyingine za Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo ni kati ya Coastal Union na Mtibwa Sugar itakayochezwa kwenye Uwanja wa Mkwakwani, Tanga, Ruvu Shooting na Stand United itakayochezwa kwenye Uwanja wa Mabatini, Mlandizi, Pwani, wakati kesho Yanga SC watakuwa wenyeji wa Ndanda FC ya Mtwara mechi hii itachezwa kwenye Uwanja wa Taifa.
Mchezo kati ya Mgambo JKT na mabingwa watetezi, Azam FC uliokuwa ufanyike leo, umeahirishwa. Azam FC wako ziarani Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).

Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>