Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Walinzi maalum wa CUF wakiwa wameimarisha ulinzi katika gari alilopanda Mwenyekiti wa chama hicho.
Mwenyekiti wa CUF, Prof. Ibrahim Lipumba (katikati) akiwa amewekewa ulinzi na wafuasi wa chama hicho wakati Polisi walipozuia maandamano ya amani yaliyokuwa yafanyike leo kuanzia Temeke Hospitali hadi Mbagala Zakhiem jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa CUF, Prof. Ibrahim Lipumba akiwapungia mkono wafuasi wake mara baada ya Polisi kuyasambaratisha maandamano ya amani ya chama hicho yaliyokuwa na lengo la kuwakumbuka wanachama wenzao, walioteswa na kuuawa kwa kipigo cha Polisi huko Zanzibar Januari 27 mwaka 2001.
Mlinzi wa Prof. Ibrahim Lipumba akizozana na askari wa kikosi cha Kuzuia Ghasia (FFU) wakati walipota kumkamata bosi wake.
Prof. Lipumba akiwa katika gari la Polisi
Mfuasi wa CUF akiwa chini ya ulinzi.
CHANZO: HABARI MSETO BLOG
CHANZO: HABARI MSETO BLOG