Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Zitto Kabwe (katikati) akiwauliza maswali viongozi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), kuhusu taarifa za Fedha za Mamlaka hiyo wakati kamati hiyo ilipokutana katika ofisi za bunge jijini Dar es Salaam.(Picha na Francis Dande)
Kamishina wa Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Rished Bade akitoa ufafanuzi mbele ya wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) juu ya taarifa za Fedha za mamlaka hiyo jijini Dar es Salaam.
Kamishina wa Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Rished Bade akitoa ufafanuzi mbele ya wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) juu ya taarifa za fedha za mamlaka hiyo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Kamishina wa Forodha, Tiagi Kabisi na Katikati ni Mwenyekiti wa Bodi, Benard Mchomvu.